FOMU YA TAARIFA YA MWEZI YA HVC TOKA KITUONI (ICP)
UTARATIBU WA KUTUMA RIPOTI
Ripoti hii itumwe tarehe 18th
TAARIFA YA MWEZI TANGU TAREHE 16 MWEZI ULIOPITA HADI TAREHE 15 YA MWEZI HUU WA TAARIFA
FOMU HII IJAZWE NA H/WORKER IPITIWE NA MKURUGENZI WA KITUO
JINA LA KITUO (ICP):
NAMBA YA KITUO (ICP):
ICP EMAIL
JINA LA PF
NAMBA YA SIMU YA H/WORKER:
JINA H/WORKER:
NAMBA YA SIMU YA MKURUGENZI:
JINA LA MKURUGENZI:
MALENGO ya MWAKA ( Jumla ME na KE )
a) Chakula na lishe
b) Makazi na Malazi
c) Huduma ya Ushauri (Psychosocial support)
d) Waliopata Matibabu
e) Waliopata Elimu
f) Waliopata Elimu ya ufundi (VETA)
g) Waliopata Msaada wa shughuli za ujasiriamali
JUMLA YA WOTE (a-g)
HUDUMA ZILIZOTOLEWA KWA HVC MWEZI HUU
MALENGO ya MWAKA ( Jumla ME na KE )
a)Idadi ya HVC wanaoishi na walezi mbadala
(foster care) m.f. mfanyakazi au ndugu
b) Idadi ya HVC wanaoishi na familia zao
(family based care)
c) Idadi ya HVC wanaoishi katika vituo vya kulelea watoto
(m.f. vituo vya watoto yatima)
JUMLA YA WOTE (a-c)
MAKAZI YA (HVC)
MALENGO ya MWAKA ( Jumla ME na KE )
a)Idadi ya wafanyakazi wa ZAMANI wa Kituo waliopata semina ya Ulinzi wa mtoto
katika kipindi cha MWEZI HUU (Refresher training course on Child Protection)
b)Idadi ya wafanyakazi wa Kituo WAZAMANI waliosaini tamko la kumlinda mtoto MWEZI HUU
(# ICP staffs signed statement of commitment of child protection)
c)Idadi ya watoto waliosajiliwa waliopatiwa mafunzo ya ulinzi pamoja na haki za watoto ndani ya
kipindi cha MWEZI HUU (Registered Children trained on Child Protection in this month period)
d)Idadi ya walezi/wazazi wa watoto waliosajiliwa kituoni waliopatiwa mafunzo
ya ulinzi wa mtoto na haki za watoto ndani ya kipindi cha MWEZI HUU
e)Idadi ya wafanyakazi wapya wanaojitolea (volunteers) m.f CYT
waliopatiwa mafunzo ya ulinzi wa mtoto MWEZI HUU
f) Idadi ya wafanyakazi wanaojitolea wazamani (volunteers)
m.f.CYT waliopatiwa mafunzo ya ulinzi wa mtoto MWEZI HUU
g) Idadi ya wafanyakazi wanaojitolea WAPYA m.f. CYT
waliosaini tamko la kumlinda mtoto MWEZI HUU
h)Idadi ya wafanyakazi WAPYA wa kituo waliosaini tamko la ulinzi wa mtoto MWEZI HUU
ULINZI KWA MTOTO (Child Protection at ICP Level)
MALENGO ya MWAKA ( Jumla ME na KE )
a)Umri kati ya siku 1-hadi miezi 11
b)Umri kati ya mwaka 1 hadi miaka 2
c)Umri kati ya miaka 3 hadi miaka 5
d)Umri kati ya miaka 6 hadi miaka 8
e)Umri kati ya miaka 9 hadi miaka 11
f)Umri kati ya miaka 12 hadi miaka 14
g)Umri kati ya miak 15 hadi miaka 17
JUMLA YA WOTE (a-g)
MATUKIO YA UDHALILISHAJI WA MTOTO YALIYORIPOTIWA MWEZI HUU
(incidents of child abuse reported)
MALENGO ya MWAKA ( Jumla ME na KE )
a)HVC Waliofiwa na Baba
b)HVC Waliofiwa na Mama
c)HVC Waliofiwa na Baba na Mama
d)HVC Wanaoishi mitaani/hawana walezi
e)HVC Wanaoishi na walezi ambao hawajiwezi/wagonjwa/wazee sana
f)HVC Wanaojilea wenyewe (Child headed family)
g)HVC Wanaoishi na Virusi vya UKIMWI
h)HVC Wenye ulemavu
JUMLA YA WOTE (a-h)
MHUTASARI WA AINA YA MAZINGIRA HATARISHI (HVC)
MALENGO ya MWAKA ( Jumla ME na KE )
a)Umri kati ya siku 1-hadi miezi 11
b)Umri kati ya mwaka 1 hadi miaka 2
c)Umri kati ya miaka 3 hadi miaka 5
d)Umri kati ya miaka 6 hadi miaka 8
e)Umri kati ya miaka 9 hadi miaka 11
f)Umri kati ya miaka 12 hadi miaka 14
g)Umri kati ya miak 15 hadi miaka 17
JUMLA YA WOTE (a-g)
CHANGANUO WA UMRI WA HVC KATIKA KITUO
Miaka kati ya (19-34)
Miaka kati ya (35-59)
Mika 60+ na kuendelea
Miaka kati ya (19-34)
Miaka kati ya (35-59)
Mika 60+ na kuendelea
a) Mafunzo ya malezi
b) Shughuli za ujasiria Mali
c)Ufuatiliaji wa makuzi ya mtoto kwa HVC wenye umri miaka ( 0-4)
d)Huduma ya Ushauri (Psychosocial support)
e)Huduma nyinginezo
JUMLA YA WOTE (a-e)
HUDUMA ZILIZOTOLEWA KWA FAMILIA ZA HVC
I. Chakula na Lishe
II. Makazi na Malazi
III. Waliopata
Msaada wa Kielimu
IV. Ulinzi wa Mtoto
V. Ushauri Nasaha
(Psychosocial Support)
VI. Mafunzo ya (Veta)
kwa HVC
VII. Waliopata Msaada wa
shughuli za ujasiriamali
VIII. Ufuatiliaji wa Matukio
yaliyotokea ya
unyanyasaji kwa Watoto
Mpango Kazi wa
shughuli za HVC
Mwezi Ujao:
SEHEMU YA KUTOA MAELEZO YA RIPOTI
Matthew 25:34,35...
"Then the King will say to those on His right, 'Come, you who are blessed of My Father, inherit the kingdom prepared for you from the foundation of the world.
For I was hungry, and you gave Me something to eat; I was thirsty, and you gave Me something to drink; I was a stranger, and you invited Me in;
naked, and you clothed Me; I was sick, and you visited Me;…