RIPOTI YA AFYA YA KILA MWEZI

Click here to open the date picker
Basic Information
Maelezo kwa kifupi kuhusi shughuli za uhamasishaji wa Afya kituoni.
UHAMASISHAJI WA AFYA KITUONI
Idadi ya waliofaidika
MADA KUU ILIYOFUNDISWA
WIKI
a) MADA KUU ZILIZOFUNDISWA
b) HUDUMA ZA TIBA (MATIBABU)
Aina ya matibabu (mf.aina ya uupasuaji,tiba ya saratani n.k)
Maoni
Namba
ya Mtoto
Matokeo ya uchunguzi wa afya (Diagnosis)
Ngazi ya Rufaa
1. Huduma mahususi za tiba
2. Huduma za tiba za kawaida
3. Magonjwa matano yaliyoongoza kufuatana na idadi ya wagonjwa kituoni kwa mwezi husika
4. Ufupisho wa maradhi sugu(kama kuna mengine hayajaorodheshwa tafadhali yaandike )
1. Idadi ya watoto/vijana waliopata mimba kwa mwezi husika
2. Idadi ya watoto/vijana walioondolewa (Departed) kituoni kwa ajili ya mimba
5. Mimba za ujanani kwa watoto walioandikishwa kituoni.
Miaka 1-2
Miaka 3-5
Miaka 6-8
Miaka 9-11
Miaka 12-14
Miaka 15-18
Miaka 19 na zaidi
JUMLA
Matokeo makuu ya ukaguzi (Matano yaliyoongoza kwa mujibu wa idadi)
6. Ukaguzi wa Afya
7. Vifo vya watoto kama vimetokea kituoni kwa mwezi husika
a) Idadi ya Watoto/Vijana wenye Utapiamlo Uliokithiri
b) Idadi ya Watoto/Vijana wenye Utapiamlo wa kati
c) Idadi ya Watoto/Vijana wenye Uzito uliozidi
d) Idadi ya Watoto/Vijana wenye Uzito uliozidi sana
8. LISHE
Ufafanuzi /maelezo kwa kifupi kuhusu hali ya ugonjwa huu kituoni
a) Maambukizi mapya ya kifua kikuu (TB)
b) Maambukizi ya zamani ya kifua kikuu (TB)
c) Tiba zilizokamilika
10. Kifua Kikuu (TB)
• Idadi ya Walengwa wa CDSP waliopata chanjo za Extended Program on Immunization (EPI) (EPI Vaccination)
• Idadi ya Walengwa wa CDSP waliopata chanjo zisizo za Extended Program on Immunization (EPI) (Non-EPI Vaccination)
11 Chanjo
a) Idadi ya matundu ya choo kituoni (Latrine stances)
b) Idadi ya bafu kituoni (Bathrooms)
c) Maji safi yanapatikana ndani ya eneo la kituo/kanisa
12 Water Sanitation and Hygiene
C) RIPOTI YA UKIMWI
1. Waliopima CD4 (CD4 count) kwa mwezi huu
2. Waliopewa Ushauri nasaha na ufuatiliaji kwa mwezi huu
3. Wagonjwa waliotembelewa nyumbani na mhudumu wa afya anayejitolea toka kituoni mwezi huu
4. Mafunzo ya huduma za nyumbani kwa waathirika (HBC) kwa mwezi huu
5. Mafunzo ya kuzuia maambukizi ya VVU kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto kwa mwezi huu
6. Waliopewa Msaada wa usafiri kwenda kliniki kwa mwezi huu
7. Waliopata Msaada wa kisaikolojia na kijamii kwa mwezi huu
8. Walioripotiwa kutotumia vidonge vya kupunguza makali ya UKIMWI kikamilifu kwa mwezi huu
9. Madhara ya vidonge vya ARVs kwa wagonjwa yaliyoripotiwa kwa mwezi huu
10. Idadi ya waliotumia dawa za kuwalinda dhidi ya magonjwa nyemelezi kwa mwezi huu.
11. Idadi ya wagojwa waliotibiwa magonjwa nyemelezi kwa mwezi huu.
SEHEMU YA PILI: RIPOTI YA UKIMWI
2. TAKWIMU ZINAZOHUSU WATOTO/VIJANA WALIOSAJILIWA WA CDSP KUHUSU UGONJWA WA UKIMWI
Jumla ya Watoto kwa Mwezi unaoripotiwa tu
Jumla kwa watoto wote kituoni
TAKWIMU ZINAZOHUSU WAZAZI/WALEZI WA WATOTO WALIOSAJILIWA WA CDSP KUHUSU UGONJWA WA UKIMWI
Jumla ya Wazazi/walezi Kwa Mwezi unaoripotiwa tu
Jumla kwa wazazi/walezi wote kituoni
TAKWIMU ZINAZOHUSU NDUGU WADOGO (SIBLINGS) WA WATOTO WALIOSAJILIWA WA CDSP KUHUSU UGONJWA WA UKIMWI
Jumla ya ndugu wadogo Kwa Mwezi unaoripotiwa tu
Jumla kwa ndugu wadogo wote kituoni
Toa taarifa ya maendeleo ya shughuli za vijana waelimishaji rika na klabu za Afya kituoni kwa mwezi husika.
6. MAENDELEO YA WAELIMISHAJI RIKA (PEER EDUCATORS) NA HEALTH CLUBS KITUONI
Toa taarifa ya maendeleo ya shughuli za Health Volunteers kituoni kwa mwezi Husika
7. MAENDELEO YA SHUGHULI ZA WASHIRIKI WANAOJITOLEA KATIKA SHUGHULI ZA AFYA (HEALTH VOLUNTEERS) KITUONI
The LORD hear thee in the day of trouble; the name of the God of Jacob defend thee;
Send thee help from the sanctuary, and strengthen thee out of Zion;
Remember all thy offerings, and accept thy burnt sacrifice; Selah.
Grant thee according to thine own heart, and fulfil all thy counsel.